Seventh-Day Adventist Church

MORIA SDA CHURCH Kanisa linalojali watu

Menu
Add a Slideshow to see your custom images here

Home





Karibu katika tovuti ya Kanisa la Waadventista wa Sabato Moria. Kanisa hili linapatikana kwenye mtaa wa Swebo ulio katika Jimbo la Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania. Kwenye tovuti hii utakutana na mambo yatakayobadilisha maisha yako na kukuandaa kukutana kwa amani na Mkombozi wa ulimwengu huu Yesu Kristo uso kwa uso. Karibuni sana.